Last year, siku maji ilipotea kwa plot yetu. Saa hiyo nilikuwa nimekaa kwangu nikifanya mambo yangu, when suddenly I heard a knock on the door.
Nilifungua mlango, and there she was.
A beautiful lightskin girl kutoka 4th floor. Buana, huyu dame alikuwa amepigwa na beauty proper. For a moment nilifikiria labda nimefungua mlango ya wrong house. 😂
Akanisalimia then akasema, “Please unaweza kunisaidia kutafuta maji? Sina hata ya kupika.”
Alikuwa ameshika mtungi ile kubwa ya 20 litres.
Sasa sijui ni nguvu gani iliniingia, but immediately niliona ile mtungi nikajua lazima nisaidie. Hakukuwa na vile ningekubali mrembo kama huyu ajivunje mgongo akibeba maji.
“Wacha nichukue,” nikasema, nikanyanyua mtungi.
Na hapo ndio story ilianza.
Tukatembea around 500 metres hadi kwa watershop. Njiani tunapiga story kidogo, na mimi nilikuwa nimeanza kujiambia kimoyomoyo, “Hii ni opportunity.”
Nilikua nimejiwekea plan kabisa.
Tukirudi, nitamwingizia maji kwa nyumba. Nikimaliza, nitapumzika kidogo, then casually nitamuomba namba yake.
Simple.
No pressure.
At least hivyo ndivyo nilifikiria. 😂
Tukafika watershop, tukajaza ile 35 litres, then tukaanza safari ya kurudi. Sasa ile 20 litres ikaanza kunipa reality check. Maji yalikuwa mazito bana, but nilikuwa nimeingia character ya Superman.
Nilikuwa nimebeba kwa mabega nikijifanya niko sawa, mgongo nayo ilikuwa inanitukana kila hatua.
Lakini nilisema, “Lazima nifike.”
Tulifika plot, tukapanda hadi 4th floor. Four floors!
Nilikuwa nimeshika maji mabegani, jasho likinitoka, lakini moyo ulikuwa unasema, “Bro, focus. Namba iko mbele.”
Tulifika kwa mlango wake. Nikafungua, nikaingia ndani, then nikaweka ile mtungi chini.
Nilipoinua macho…
Hapo ndio nilijua maisha yangu ilikuwa imechezewa.
Kulikuwa na kamzee mmoja amekaa chini.
Size ya Rick Ross.
Ameweka mguu mmoja juu ya meza, na mguu ulikuwa umefungwa bandage kama mtu alikuwa ametoka hospitali.
Nikamtazama.
Akanitazama.
Mimi nikamtazama tena.
Nikajiuliza, “Huyu ni nani?”
Sasa before akili yangu ifanye calculations zote, nilitoka nje kidogo.
The girl alikuwa bado anakuja kwa mlango.
Nikamuambia, “Nimeeka maji hapo kwa baba yako.”
She looked at me confused.
“Baba mgani?”
Nikamuonyesha ndani.
“Huyo mwenye ako huko.”
Akasimama kidogo, then akacheka.
“Aki… THAT’S MY HUSBAND. Alidislocate mguu.”
😐
…
😐
Nilihisi kama system yangu imecrash.
Mtu nilikuwa nimebeba maji for 500 metres.
Mtu nilipandisha 4 floors.
Mtu nilikuwa nimeplan kumuomba number.
Mtu nilikuwa nimeanza kuita “future opportunity” kwa akili yangu…
Alikuwa anaenda kupelekea mume wake maji. 😭😭
Na mimi nilikuwa nimejiweka kwa position ya delivery guy wa ndoa yao bila hata kujua.
Nikamuambia tu, “Ohh… sawa.”
Akanishukuru, “Thank you.”
Nikageuka nikaanza kushuka stairs.
Sikushuka kama nilivyopanda.
Nilishuka kama mtu amepoteza kitu muhimu.
Nilifika kwangu, nikafunga mlango, nikakaa chini na nikapanguza machozi na jasho.
Machozi haikuwa ya maji.
Ilikuwa ya expectations. 😭💔
Siku hiyo nilijifunza lesson moja muhimu:
Usibebe maji ya mrembo kabla ujue maji yanaenda kwa nani.
Wanawake maghasia. 😭💔😂
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment