UMUHIMU WA MUDA

UMUHIMU WA MUDA

3 months ago
3 min read
3 reads
554 words

TAFAKARI MAMBO HAYA 10 LEO.

1️⃣HAUNA MUDA WOTE DUNIANI... Hivyo tumia MUDA WAKO KWENYE VITU VINAVYOKUJENGA TU NA SI VINAVYOKUBURUDISHA NA KUKUACHA ULIVYO AU KUHARIBU KIROHO CHAKO NA TABIA YAKO!

2️⃣ Hauna MIAKA hapa DUNIANI bali una SIKU MOJA MOJA kadhaa hivyo ISHI SIKU MOJA MOJA KWA HEKIMA MNO ili kuwa na UKURASA WA MAISHA WENYE MATOKEO... Kudhani una MIAKA kunakufanya USIWAJIBIKE, ila kugundua kwamba UNA SIKU MOJA MOJA TU YA KUISHI kutakufanya uishi kwa NIDHAMU!

3️⃣Hapa DUNIANI watu waliofanikiwa ni WANAOHESHIMU MUDA TU na wote WASIO NA MATOKEO ni WASIOJALI MUDA! MATAJIRI WANANUNUA MUDA WA MASIKINI ILI WAUTUMIE KUTIMIZIA NDOTO NA MALENGO YAO tunaita AJIRA! MATAJIRI wananunua MASAA 8 YA MAISHA YA MTU ASIYE NA NDOTO ZAKE ili yatumike KUJENGA NDOTO NA MAONO YAKE kupitia malipo yaitwayo MSHAHARA!

4️⃣Unaweza kurudia TUKIO AU JAMBO ambalo HUKULIFANYA KATIKA MUDA ULIOPITA lakini HAUWEZI KURUDISHA MUDA NYUMA.... Kila upatalo MUDA KULIFANYA hakikisha UNALIFANYA NDANI YA MUDA WAKE ili usijetumia MUDA WAKO WA KESHO kufanya JAMBO LA JANA!

5️⃣ FURSA ZOTE ZIMEFUNGWA NDANI YA MUDA......

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

UMUHIMU WA MUDA | Soma Stories