TOYOTA LC79 ZA MIRAA: HIZI SI MAGARI, NI VITA!
Ushaipatana na hizi Toyota LC79 za miraa? Hizi ndio magari hupeleka mali zikifuata non-existent roads, kama jamaa wa Mara Nomads.
Ukiiona kwa mara ya kwanza utadhani inabeba spare tyres za kuuza. Unaanza kuhesabu tyres, suspension, jerrycans na hizo accessories zote. Ukimaliza, unajiuliza, “Na hizi zote watatumia wapi?” Bro, usiulize maswali mingi. Hii gari inaenda mahali hata Google Maps inasema, “Wewe endelea tu, nitakufuata nikielewa njia.”
Hizi LC79 hazijui kitu inaitwa mwisho wa barabara. Dereva akifika mahali lami inaishia, yeye haoni mwisho wa safari. Anaona mwanzo wa kazi. Anakanyaga msitu mpaka barabara ipatikane. Yaani samri ya Rhino ikifuata pocha!
Na hakuna mcheso kwa hizo barabara. Ni mawe, mashimo, mifereji, vichaka...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment