The last time we met
Kulikuwa na huyu dem nlikutana naye back in 2023… si mchezo, alikuwa ananichizisha mbaya. Si ati alikuwa anajifanya sana, lakini alikuwa na ile aura flani… ile ya mtu unamnotice hata kama uko mbali. Sauti yake, vile anaongea, confidence yake—ilitulia lakini ilikuwa inavuta attention.
Sasa story ilianza aje? Random tu. Kuna ile WhatsApp group ya comrades wa mtaa—ule group ya kila mtu ako na story, memes, siasa za campus na drama kidogo. Nikaona number yake hapo… nikasema, “Antony, hii ni chance. Ukikaa sana utaachwa.”
Nikajikaza nikamtext.
“Hey… si wewe ndio ule dem wa group fulani?”
Akarudi simple tu, no attitude: “Yeah ni mimi… nani wewe?”
Hapo...
Loading comments...
Related Stories
No related stories available.
Explore More Topics
No topics available at the moment