THE LAST TIME WE MET
PART 4 ❤️✨
Baada ya ile conversation ya usiku yenye alisema "Thanks for staying," mambo ilianza kubadilika polepole.
Si ati tulikuwa tumeweka label kwa relationship. Hapana.
Lakini kulikuwa na kitu.
Ile kitu huwezi explain, lakini unaifeel.
Siku moja alikuwa amekuwa busy sana. Hatukuongea vile kawaida. Mimi nikajaribu kujiconvince niko sawa, lakini ukweli ni kwamba nilikuwa nammiss vibaya.
Jioni ikafika.
Nikapata notification.
Voice note.
Nikacheza.
"Hey... nimekuwa busy sana leo. Nilikuwa nataka tu kuskia sauti yako kidogo."
Wueh.
Hapo moyo ilifanya backflip mbili bila warm-up. 😭❤️
Nikampigia.
Call ilipokelewa almost immediately.
Tukaongea kawaida mwanzoni.
Then stories zikageuka kuwa zile deep conversations zetu.
Mara moja akaniuliza:
"Unafikiria nini kuhusu...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment