The last time we met
Part 3 😮💨❤️
Baada ya ile first “date” yetu… sasa mambo ilianza kushika shape officially. Ile awkwardness yote ilikuwa imeisha. Tulikuwa tunaongea kila siku mpaka ikafika point simu ikianza kuita naona smile before hata nijue ni nani 😅
Na yeye pia akaanza kuwa comfortable vibaya.
Mara ananitumia selfie random: “Naonekana aje leo?”
Sasa mwanaume kama mimi unataka kujifanya mysterious lakini ndani unajua kabisa umezoom hiyo picha mara saba 😭
Nikimshow: “Unajua vizuri umeiva.”
Akasema: “Basi sawa 😌”
Hapo nilijua huyu dem akona confidence lakini pia anapenda reassurance kidogo kutoka kwangu.
Siku zikapita. Tukazoeana mpaka tukaanza zile calls za usiku zenye zinaanza na: “Uko aje?”
Halafu zinaisha 2AM discussing...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment