The last time we met

The last time we met

4 months ago
2 min read
125 reads
316 words

Part 2 😮‍💨🔥

Baada ya ile encounter ya December… mambo haikurudi normal tena. Chat zilianza kuwa longer kuliko kawaida. “Good morning” zikaanza kuwa mandatory kama tax ya serikali 😅. Siku nisipomtext mapema, ananitumia: “Leo umeamua kusahau watu wako?”

Na mimi ndani najua hii si ile convo ya kawaida tena.

Pole pole tukaanza kuzoeana vibaya. Akianza kunitumia random voice notes akicheka… mara memes za relationship… mara “hii imenikumbusha wewe.” Eeh bana, hapo nilijua nimeanza kuingia deep waters.

Sasa kuna siku aliniambia: “Si siku moja unitokee tukule tu kitu mahali…”

Mimi niliread hiyo text kama mara 17 kuhakikisha sijaota 😭

Nikajifanya mtulivu: “Wazi… sema tu...

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

The last time we met | Soma Stories