Episode 01🔥
Niliamshwa 5am na baridi toka prison block 32B. Nikajengwa heady moja illegal na huyo prison guard. Huyu karao amenichukia since nishikwe manze😂. Nikashindwa sasa napelekwa kukua sentenced to death ama kunaendaje. Nikapelekwa kwa administration pale
Admin : Carly max
Me : Yes mkubwa
Admin : Unajua kwanini umeamshwa mapema?
Me : Hapana
Admin : Coplo pea huyo kijana kichapo cha mbwa
Nikatolewa nje nikafinywa vibaya sana na makarao wawili💔. Nikarudishwa ndani. 6 ilikua imeanza kuingia ka mwangaza kwa umbali. Prisoners wengine walikua wameanza kuamka wanaimba imba huko wengine wamegeuka musicians na before washikwe mapostor😂
Admin : We are releasing you
Me : Mkubwa nimekaa hapa three years..bado miaka mbili
Admin : Ni sisi tunajua ama wewe
Nikapewa stuffs zangu manze wakakataa kunipea viatu💔. Nikainuliwa nikatupwa nje ya gate. Kufika nje nikatamani kurudi ndani ju njia nililetwa nayo prison imegeuzwa shule😂💔. Nikashindwa sasa naenda na gani. Kisubmarine nikaanza kuulizia watoi wanaishia shule wakanishow route. Nikadandia lorry hadi mtaa. Kufika huko mambo ikachemka. Nakumbuka last nikishikwa niliwacha manzi yangu kwa keja. Nikafika kwa mlango yangu kwanza nikapata hizo keja zilikua renovated sahi ni bedsitters. Hapo nje kulikua na crocks za watoi na dinga imepack hapo nje nikajua maybe manzi alihama. Nikasema let me knock niulize alihamia wapi. Kubisha mlango ikafunguliwa. Mzee flani hivi na boxer akatoka nje
"Unataka nikusaidie aje.. I don't want hawkers knocking at my door asubuhi hii get lost"
Me : Nasaka manzi anaitwa nyambu.. alikua anaishi hapa i think before ukuje
"Nyambu?"
Me : Yeah Jane nyambura i think so
"Mama Liam hebu kuja kiasi"
Mama...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment