EPISODE 5(I DON'T LIKE HER)
Chuma ikashikwa vizuri na grip ya mkono ikatingizwa mara mbili ikajaa mkono. Akanirukia kama ameiweka ndani. Dem aliniride design flani illegal hio akishikwa anapelekwa international court of law for attempt murder.
Chuma ilizungushwa the whole night kama kamba ya mbuzi kidogo ikatike kwa hio process. Kisubmarine nikahold hizo haga proper akapokea kichapo illegal ya chuma. Huyu mwenye anaomba direct sasa sijui form Iko aje.
Shakila : Wow you killed me tonight
Me : Hehee
Shakila : Carl move in with me
Me : Zii..bad idea
Shakila: No.. think about us fucking daily
Me : No Shakila maybe mabadae huko
Shakila : Naweza kupea time
Mlango ikabishwa
Mlango ikabishwa kuangalia shakila ameshtuka. Ilikua inaenda 3am huko.. kwa keja ya manzi ni nani anaweza knock time kaa hio?
Me : Were you expecting someone?
Shakila : Zii imagine hata nashindwa ni nani
Me : It's your house hauwezi kosa kujua ni nani
Shakila : I'm scared.. hebu nipeleke nione ni nani
Mkurugenzi ikifikaga ni kulala kwa madem ni kama umebet na maisha yako yote. One bad move kisubmarine unakula panga ya shingo kama kuku. Nikajipanga fiti ju stuff kama hizi haziishagi poa. Tukatoka bedroom. Nje bado kulikua na giza. Kuangalia kwa mlango manze hio shadow mrefu haiwezi kua ya dem.
Shakila : Ni nani
"Shakila it's me fungua niingie"
Shakila : Nakuuliza wewe ni nani na hii ni time gani unakuja kwangu eeh
"Babe it's me..Ni Nick"
Shakila akanyamaza for two minutes nikajua niko kwa manzi wa wenyewe. Tukaangaliana. Hapa akifungua mkuu it's either mimi nirudi prison ama huyo Nick aende level 5 kuongezwa jasho.
Shakila : Shhh
Nick : Babe...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment