EPISODE 2
Me : Hio sio swali mzee;
Akanipanga pale tukaelewana salary na vile nitakua narun hii club. Upstairs kulikua na lodgings so client akibambika analipa unampea key. Pia nikaambiwa usiku na some specific days kama kuna events kuna mamanzi hii club huandikwa wanakaa hapo waki entertain wasee.
Mse analipia anaingia lodging huko juu kutolewa kutu. Nikaanza kazi. Mse alikua akilewa alete utiaji anatoka shingo ikiwa dislocated. Tulipiga job hadi usiku. Hii club ilikua bigy sana. Usiku pale madem wakaingia wakaanza kuchizisha walevi pale. So mse alikua anafika analipia room na pia analipia manzi. Kila manzi alikua na price yake. Ule ameiva sana ako na kila kitu bei yake iko a bit juu kiasi. Ule miaka imeenda amechoka choka hivi na kidogo hana kila kitu bei iko chini kama price ya salt.
So ni kuwajenga key then wanapanda huko juu pesa ndo inaongea na time pia. Hawa madem walikua wameiva kuiva hapa kiundercover unaweza sahau kazi ujipate upstairs umefungua kichuma high voltage uchome kazi.
Shakila : (laughing)Wacha kuwaangalia hivo macho itaanguka
Me : Hata siwaangalii
Tukaendelea kupiga job pale. Mse flani hivi akakuja pale kwa counter
Me : How can i help you Sir
"I want one of the girls"
Me : Chagua mwenye unataka I'll tell you the price"
"I want her"
Me : Nani
Akanionyesha Shakila
Mambo kidogo ikashikana hapa. Tukaangaliana na Shakila.
Me : Boss unasema huyu ama?
"Yeah"
Me : Shakila what's going on.. pia we hukua kwa list?
Shakila : Zii ambia huyu mtu achukue wale wengine ama atembeze
Me : Boss chagua kwa wale wengine
"Nikisema nataka huyu nataka huyu"
Me : Unasema kama nani?
Jamaa akapandisha hasira. Nikatoka counter tukainuana pale akanipigisha kwa meza. Nilifeel ni kama mgongo imeingia kwa tumbo. Mkono iliamka hapo nikasema hio kazi siwezani heri nirudi jela. Tulivurugana hadi akajengwa chupa ya kichwa ndo akaishia .
Shakila : Unawaste time na mjinga kwanini. Hawa kua unawapiga na kitu mzito this guy namjua yeye hukunywa hapa so ameona wewe ni mgeni akaamua kukupima akili
Me : Wueh..kwanza ni wewe alikua anataka
Shakila : Mimi hua siguzwi
Me : Mbona?
Shakila : Boss atakuua
Me : Ooh so you mean wewe na boss...
Shakila : Zii zii sio hivo yani namaanisha mse hawezi nipiga boss ataweza mueka ndani
Me : Ooh sema hivo
Tukaendelea kupiga job kisubmarine. Usiku pale biz ilikua imeshika strippers wanaleta pesa kuleta. Kiasi hivo dem flani akatoka upstairs akilia.
Me : Shida ni gani
"Client amenipiga"
Tukapanda na yeye huko juu hadi kwa room
Me : Bro noma ni gani
"Anakataa kufanya vile nataka"...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment