THE BARTENDER

THE BARTENDER

8 months ago
6 min read
120 reads
1053 words

EPISODE 7

Chloe : Actually wote wako against me wanasema nimechukua customers wote

Boss : waambie wakuje waniambie mimi.. they're lazy na sasa wakati wao umefika wataona moto..wewe piga kazi

The way boss alikua anaangalia hizo haga nikasema huyu mzee anapenda nginyo. Huyu simuoni vizuri walahi . Nikachill pale

Boss : So iko hivi..naona mnafanya kazi safi sana

Shakila : Thank you boss

Boss : By the end of the month you will get promoted nyinyi wote..na naona kazi ni kama we need to expand

Me : Yeah sure

Boss : Ama niongeze wafanyikazi

Shakila : Waiters maybe lakini sisi tuko sawa

Boss : Yeah na bouncers pia..najua Carl hawezi hio peke yake plus sasa yeye ako kwa counter we need security.

Me : Sure

Boss : Unajua hawa escort girls they are very beautiful lakini hawajui worth yao..mtu kama Debbie..she thinks being an escort girl is the only thing that can bring food to the table..she can do more than that I mean look at that beauty?.. anaweza kua model..lakini wacha watuletee pesa..this business is dirty and so is the money

***

Enyewe hii ilikua dirty business sio ati mzee anadanganya. Na hawa madem walikua wameiva wanaweza fanya other good things wapate doo but they don't know their worth. Mzee alikua anabonga ni kama anatamani hawa madem vibaya sana. Akatoka akaishia upstairs.

Shakila : Unaona huyo dem emefata boss huko juu

Me : Yeah

Shakila : They are going to fuck..huyu mzee hua anakula some of them then wanakua promoted

Me : Whaat

Shakila : Yeah..haujui?.. unaweza pata dem hata hajaiva lakini ako kwa VIP instead akue kwa regulars..so boss anamkula then anakua promoted anamueka kwa VIP

Me : Huyu mzee kumbe ni kifaru

Shakila : Yeah..na unajua pia kuna level iko juu ya VIP

Me : Aii zii i thought VIP ndo ya mwisho

Shakila : Zii..kula elites..hii sasa ni madem their beauty can't be compared to anyone

Me : Na wako wapi?

Shakila : Hawako.. actually Chloe inafaa akue...

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

THE BARTENDER | Soma Stories