SUGAR DADDY WANGU ALIWAZA

SUGAR DADDY WANGU ALIWAZA

2 months ago
3 min read
5 reads
578 words

Jina langu ni Melissa. Nilikuwa msichana wa kawaida wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, mwaka wa pili, nikisoma Business Administration. Maisha yangu yalikuwa ya kawaida — hosteli ya serikali, mchele na mbaazi, na boyfriend wangu wa miaka miwili, Brian.

Brian alikuwa mtu mzuri. Alinipenda kweli. Lakini alikuwa masikini kama mimi. Tulikuwa tukila chips kila Jumatano, na wakati mwingine alinunulia soda. Hakuna zaidi. Hakuna pesa za kufanya date vizuri, hakuna pesa za kununua nguo mpya, wala hakuna matumaini ya maisha mazuri baada ya chuo.

Siku moja, nilipata ujumbe WhatsApp kutoka kwa rafiki yangu, Sharon. “Mel, kuna mzee mzuri anatafuta msichana mzuri wa kushare naye maisha. Anakupa kila kitu. Unataka nimuconnect?”

Nilicheka kwanza. Lakini usiku huo, niliangalia picha zangu za Instagram — nguo zilezile za zamani, hosteli iliyochafuka. Niliwaza: “Maisha haya yanataka hatua kali.”

Wiki iliyofuata, nilikutana na Bwana Robert. Alikuwa na miaka 52, tajiri wa ujenzi na maduka mengi jijini. Alikuwa na gari la Land Cruiser, saa ya Rolex, na tabasamu la mtu aliyejua anachotaka.

Tulikutana kwenye hoteli ya kifahari Oyster Bay. Alinilipa chakula cha bei kubwa, akanipa pesa za “transport” — shilingi...

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

SUGAR DADDY WANGU ALIWAZA | Soma Stories