Siri ni kujituma boss

Siri ni kujituma boss

4 months ago
2 min read
5 reads
266 words

Kuna siku nilikaa chini nikagundua maisha hainipei chance hata kidogo 😭.

Kila kitu nilikua naplan ilikuwa inaenda opposite na vile niliexpect.

Nikiona watu kwa Instagram wakipost:

β€œStarted from the bottom now we here.” πŸ”₯

Mimi nilikua bado niko kwa hiyo bottom yenyewe nashindwa kutoka πŸ˜‚πŸ’€.

Nilijaribu motivation zote possible.

Nikawatch podcasts za mabilionea.

Nikaskiza quotes za:

β€œWake up and grind!”

β€œSleep is for the weak!”

Lakini kusema ukweli, nilikua nawatch hizo videos nikiwa kwa blanket saa tano asubuhi πŸ˜­πŸ˜‚.

Siku moja ndio reality ilinichapa proper slap.

Nilikua nimekosa fare, landlord ananitafuta, na simu...

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

Siri ni kujituma boss | Soma Stories