Panya wa Nairobi ni Wazee wa Mtaa
😂😂 Title: Panya wa Nairobi ni Wazee wa Mtaa
Hizi panya za Nairobi si panya wa kawaida bana… hizi ni kama zimeenda workshop ya CIA. Zina akili, zina timing, na zina confidence ya mtu analipa rent.
Siku hiyo niliamua nijipe treat kidogo. Nikasema leo hakuna story ya mayai na ugali plain. Nikapita butchery, nikachukua maini fresh kabisa. Nikarudi kejani nikaanza process kama chef wa YouTube. Kitunguu, nyanya, pilipili hoho, garlic kidogo… harufu ikaanza kupiga kama advert ya KFC ya Eastlands.
Maini zikacatch color vizuri, nikazifinya spices kama niko competition ya MasterChef Nairobi. Pembeni nikaweka sebe ya mluhya imechemka vizuri, ugali ikasimama kama msee...
Loading comments...
Related Stories
No related stories available.
Explore More Topics
No topics available at the moment