OGOPA WATOTO WA SHULE
These students wa nowadays will shock you, yaani wanatoshana na mama zao 😁ukiwangaalia vizuri wakiwa holiday you will realize that huwezi watofautisha.
Sasa shida iko hapa, hawa kucheza nao ni hatia zaidi, miaka ni 35 jela ukipataikana naye wacha kufanya anything, kuonekana tu na yeye ni ngori.
Imagine kama huyu uko pale supermarket kama soldier alafu unaona kanakuangalia na tumacho sexy 🙄😁ulivyo mjinga unaamua kukasalimia, kanakuwanga very soft spoken, kanasalimika alafu kanagonja ukaongeleshe..... 😁Very naic, And gentle. Wewe na tamaa zako za matakataka unaomba number unapewa. Hio kichwa yako kama papai unaanza kuona kama umeangukia. Unakaseduce na juu kamepata mtu anafanya kazi supermarket kanakubali, juu kanadhani unaweza kalindia moyo 😁😁.
Unatupa mistari zako, kanaingiana, so siku uko off unakaita kwako....
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment