Mwalimu WA math alisema sitaenda mbali π
Mwalimu wa Math Alisema Sitaenda Mbali π
High school ilikuwa na trauma zake bana π.
Na moja ya trauma kubwa ilikuwa math lesson ya mwisho before exams.
Mimi na math tulikua kama mafuta na maji.
Kila nikiona x na y kwa board, akili yangu ilikuwa inaenda tea break automatically π.
Siku moja mwalimu wa math aliamua kurudisha exam papers mbele ya class.
Na wehβ¦ paper yangu ilikuwa imechomwa vibaya hadi red pen ilikua inaonekana kama crime scene π.
Akanifikia, akaniangalia straight kwa macho, akatoa miwani polepole kama villain wa movie, then akasema:
> βWewe huendi mbali maishani.β...
Loading comments...
Related Stories
No related stories available.
Explore More Topics
No topics available at the moment