Wadau 😅😅 si ucheke kwanza.
Leo wacha niwaambie vile siku moja nilikuwa zangu pale Thika Town, shugli one-two-three…
Baada ya kumaliza mambo, nikaingia pale Tabby House. Sasa ile building, kupata exit ni balaa! Unless uongee na security wakuonyeshe vile uliingia 😅. Mimi nilikuwa naenda kudai 47,000 zangu ambazo kampuni fulani ilikuwa imekunywa maji.
Nikatafuta exit nikaona nimechanganyikiwa—sioni njia niliotumia 😅. Fortunately nikakutana na Kioko, yule soldier, akanionyesha exit. Ilikuwa around 5pm. Nikasema, “Acha niguze ka Pilsner.” By the way Pilsner ndiyo favourite yangu kama ni ya chupa.
Nikaingia pale Porkiez. Sasa Porkiez jameni—hata msee ako na ndevu wanaitisha ID ya nini? 😅 Baada ya chupa tatu nikaitisha ka VAT 69. Kufika saa nne, zilikuwa zimenice kabisa....
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment