Mechi ya kweli

Mechi ya kweli

10 months ago
3 min read
6 reads
452 words

Ilikuwa Jumamosi ingine. Amina alinitumia message:

​"Kevin. Leo tunamalizia ligi. Arsenal vs. Liverpool. Njoo kwangu, tupike Maini (sikuwa nimeamini, nikajikumbusha story ya Mombasa!) na ugali, alafu tuangalie ball. Uko na shida?"

​Nilisoma 'Njoo kwangu' mara tatu. Nikasahau Arsenal na Liverpool. Nilisahau Ugali. Niliangalia Maini tena, nikajikumbusha warning yako. Senzii.​Nikaenda mbio kwa Sule. "Kaka! Nimetiwa Maini tena! Lakini hii ni Amina wa Integrity! Si mrembo wa Matatu Scam! Nifanye nini?"​Sule akaniangalia: "Kevin, ulikufa ukaishi tena. Hapa ndio utajua kama ulikufa bure au ulikufa kwa ajili ya upendo. Wewe enda. Ukifika, usiangalie TV sana! Hio mechi sio Arsenal vs. Liverpool. Hio mechi ni Amina vs. Kevin. Wewe ndio refa, wewe ndio mchezaji mkuu!"​Nikasema, "Sawa! Nitavaa jezi ya Manchester United! Hawa watu wawili wakinichokesha, nawaambia Man U ndio Boss!"​Nilifika Rongai. Nilikuwa nimenunua Soda Mbili Kubwa na

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

Mechi ya kweli | Soma Stories