Sister in law alitu visit 3weeks ago ...mimi nilimkaribisha juu si ni kwa ndugu yake so why not π
But since she came sina freedom kwa hii nyumba yeye ndio anataka apike yeye ndio kufua nguo za bwanangu πhataki niguze anything ...
Hubby akitoka job sister yake kazi ni kumwambia ooh niliona your ex sikuizi ameiva ndio aniudhiπ
Like ana behave ni kama I don't exist kabisaa π
Nikimuuliza mbona ametawala kwangu ni kama ni kwake like I can't cook...
Loading comments...
Related Stories
No related stories available.
Explore More Topics
No topics available at the moment