Naitwa Kev. Hii story si ya kujivunia, ni ya kuonyesha venye ujinga na mapenzi zinaweza kukupeleka mbali kuliko fare ya Rongai.
Nilikuwa nimekaliwa na pressure. Kuna dem mmoja wa Kilimani anaitwa Tasha. Soft life imejaa kwa Instagram yake—brunch, rooftop, wine glass mkononi, captions za "soft girl era." Mimi? Nilikuwa na mia mbili kwa M-PESA na confidence ya mtu ameshinda Aviator.
"Buda," wasee waliniambia, "ukitaka huyo dem, lazima ulete mchezo."
Nikachukua hiyo advice kama ni verse ya Biblia.
Plan ilikuwa simple. Nipige M-PESA shop Kilimani, nipate doh, then nimshow life imechange overnight.
Nilivaa hoodie, cap na mask. Nikafika kwa kiosk kama customer wa kawaida.
"Nataka kutoa elfu mbili."
Msee wa shop akafungua till.
Nikatoa chuma...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment