mambo ya wanzugu noma

mambo ya wanzugu noma

7 months ago
2 min read
4 reads
343 words

Mambo ya wanzugu tuache buana… 😅

Juzi niko na mpoa wangu kwa balcony, ka-evening breeze kadogo, Nairobi skyline inang’aa mbali kama ndoto za tender za serikali. Tulikuwa tu hapo tukicheka, yeye amevaa kajeggings kake, mimi nikiwa na confidence ya mwanaume ambaye hajawahi shika gym lakini anaamini mapenzi huongeza nguvu.

Sasa sijui ni nini ilinipata. Labda ni ile mood ya “romantic hero” ama zile movie za watu wanainuliwa juu kama feather. Nikasema, “Ngoja nikuonyeshe kitu…”

Nikajaribu kumuinua namna hii – mikono chini ya mapaja, kifua mbele, nikapiga hesabu za physics za haraka haraka kichwani… lakini kumbe gaidi iko na kilo mia safi, bila tax. 😭

Bro… ile moment nilijua...

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

mambo ya wanzugu noma | Soma Stories