loving 🥰 someone's lover 👄❤️kupenda asiye kupenda😅
There somethings when you remember them unacheka mpaka machozi yatoke. Hii ni moja ya hizo stori.
When I was in campus some years ago. I had a friend called Brian. Brian alikuwa yule mtu ambaye kila mtu alimpenda. Mcheshi, mpole, na kila wakati alikuwa na maneno ya kukufanya usahau shida zako.
Sitaki kumuita lover boy 😍 🙄, but he was adorable, admirable and lovable 😍 yaani kila kitu kwake was nice 🙂 and likable. When you talk of tall, dark and handsome, good-looking, pink lips 👄 outstanding, cute 🥰 and God-fearing man, please don't forget Brayo because that how he was, in fact this is even undefinig him 🙆🫣 . Lakini tatizo lilikuwa moja tu....
Brian alikuwa na girlfriend.😭
Siku ya kwanza nilikutana naye nilijiambia, "that a good friend though 😋."
One week after nikasema,
"Ni rafiki...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment