KWANINI KUFANIKIWA KWAKO NI KWA LAZIMA MNO KWA MUNGU?

KWANINI KUFANIKIWA KWAKO NI KWA LAZIMA MNO KWA MUNGU?

3 months ago
3 min read
4 reads
476 words

KWANINI KUFANIKIWA KWAKO NI KWA LAZIMA MNO KWA MUNGU?

Summary ..

Mungu hataki wanaomwamini wawe wa viwango vya chini...

Watu wake ndio image yake...

Hivyo basi Kustawi kwao ndio kustawi kwa jina lake ulimwenguni hapa.

Kustawi(kufanikiwa) hakuji kwa imani pekee bali kunahitaji kufuata kanuni za ustawi...

Kufanya kazi sana (hard+smart working)

Kusoma sana vitabu na kuvifanyia kazi

Kukaa na waliokuzidi viwango vya ustawi ili uweze kujifunza kwao na kupata siri zao.

Kutoa sadaka kwa wingi kwa wanaohitaji..

Kutoa sadaka kwa watumishi wa Mungu wa kweli..

Kufanya kazi halali

Mengineyo Mengi

1. Wewe ni KAZI YA MIKONO YAKE, na ukifeli maana yake kiwanda kilichokutengeneza kimefeli, na hakuna kiwanda kinachokubali kupoteza heshima yake kwa kufeli kwa bidhaa yake

2. Kabla hujaja duniani, MUNGU ALIKUJUA

Maana yake kama ambavyo kila kiwanda huijua bidhaa kwa kina na nini inaweza kufanya na kuifanyia majaribio kuhakiki uwezo wake wa kiutendaji, ndivyo ilivyo kwa upande wa Mungu!

Hadi wanaruhusu uzaliwe, walijiridhisha...

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

KWANINI KUFANIKIWA KWAKO NI KWA LAZIMA MNO KWA MUNGU? | Soma Stories