Kwaheri Caro,Karibuni marafiki wa Caro.
Jana nilitoka nyumbani nikiwa na huzuni sana,nilikuwa ninaenda Kwa ibada ya mwisho ya Caroline.Caroline alikuwa dada mcha Mungu,kama mimi bado alikuwa anangojea Mungu ampe Mume wa ndoa.
Nilikutana na Caro kitambo,mwaka wa 2014,baada ya kikundi cha WTD[What to do, before and after I say,I do.], Facebook kututengenezea kikao Cha "singles" huko arboretum, Nairobi.
Ilikua tarehe 20th October 2014,siku ya holiday.Zamani tulikuwa tunaiita Kenyatta day,siku hizi jina imebadilika,sikuhizi inaitwa Mashujaa day.
Kwa hizi picha,Caro amevaa fulana ya pink,nami nimevaa jacket ya Maroon.
Ibada ilikua mzuri sana,watu wengi sana walikuja sanasana kutoka kikundi hiki cha WTD.Wengi walikuwa wa kitambo,miaka kumi na.Hata waanzilishi wa kikundi...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment