Interpol Raid on my G apartment
Kevin alikuwa anaishi life ya “untouchable.”
Three monitors. Dark room. Hoodie imeandikwa:
“I pause my game to save your system.”
Every night alikuwa Twitter akiwachoma serikali, Telegram akijifanya anonymous, na kwa group chats alikuwa anajiita:
“GhostRoot 😎.”
Na watu waliamini.
Bro alikuwa mpaka ameanza kutembea kwa estate akiwa na confidence ya mtu ana-control satellites za NASA 😭.
Lakini siku moja…
Mchezo iliisha.
It was 2:43 AM.
Rain ilikuwa inapiga dirisha polepole. Keyboard clicks zikichanganyika na lo-fi music kwa speakers.
Kevin alikuwa busy akibrag kwa Discord:
“Hakuna system siwezi penetrate 😏.”
Then suddenly…
PING.
Unknown email.
Subject:
“We need to talk.”
Kevin akacheka.
“Scammers hawa 😭.”
Akaignore.
Then lights zikaflicker kidogo.
Internet ikakata for exactly… five seconds....
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment