from dar Tanzania to south

from dar Tanzania to south

7 months ago
3 min read
1 reads
596 words

NUMBER ONEfrom dar to south ni safari ya vijana wanne wakienda kutafuta maisha na kwa lugha yetu adhimu ya kiswahili ni kutoka dar kwenda afrika ya kusini aka inaitwa south kwa vijana wengiilikua niushawishi kutoka kwa rafiki yao david aliokua akiishi uko baada ya kuamia nchinihumo na familia yake na aliona frusa kwenye jiji aliokua akiishi na kutengeneza ushawishikwa marafiki zake kutokana nakulalamika kukosa ajira kwenye jiji la dar na yeye aliona anafrusa ya kuwapambania marafiki zake na aliwafanyia mpango ilikua ni wao tu kwenda na kuanza kazi katika jiji la johanasburg.abdul alikua nikijana mwenyewe umri wa miaka ya23 na alifanikiwa kumaliza elimu ya chuo katika chuo cha usimamizi wa fedha na alirudi kwenye elimuya kitaa ambayo kila mtu aliipitia alikua na marafiki zake wanne watatu walikua ni shomarijohn na ally wanne alikua david ambaye awapo nae alikua akiishi south na abdul alikua nimtoto wa kwanza kwenye familia yao walizaliwa watatu amina na ibrahimu licha yakua nakipato kidogo ila wazazi wao walipambana kuwasomesha na mpaka kupelekea abdul kumaliza chuo nakwa amina alikua kidato cha tatu na ibrahimu alikua...

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

from dar Tanzania to south | Soma Stories