Form itajipa mkuu ✌️

Form itajipa mkuu ✌️

4 months ago
2 min read
7 reads
259 words

“Form Itajipa Mkuu” 😂🔥

Kila hustler wa Kenya ako na hiyo line moja dangerous sana 😭:

“Bro relax… form itajipa.” ✌️😂

Na funny thing ni ati hiyo “form” haijawai jipa haraka.

Nilianza hustle nikiwa na confidence ya motivational speaker wa TikTok 😭🔥.

Nilijiambia:

“Mwezi moja tu hivi nitakuwa nimeomoka.”

Saa hii ni mwaka wa pili bado natumia free trials za software 💀😂.

Nakumbuka vile nilianza online jobs.

Nilikua nimeona watu Twitter wakisema:

“Tech inalipa vibaya sana.” 🔥

Mimi nikafungua laptop yangu yenye ilikuwa inalia kama tractor everytime naiwasha 😭.

Nikaanza...

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

Form itajipa mkuu ✌️ | Soma Stories