Fikiria kabla ya kuamua

Fikiria kabla ya kuamua

10 months ago
2 min read
0 reads
205 words

NAOMBA USOME MPAKA MWISHO

Kijana👳🏿: Nataka nikuoe☺

Msichana👩🏻: Una flat TV kwako🏡??

Kijana👳🏿:Hapana 😪

Msichana👩🏻: Je una IST🚗 au ata Bajaji yakutembelea.?

Kijana👳🏿: Hapana 😪

Msichana👩🏻:Mshaara wako kiasi gani?💵

Kijana👳🏿: Sina Mshaara lakini nna...!

Msichana: Hapana, lakini nini... Huna lolote wewe, unawezaje kunioa msichana mrembo kama mimi?

Ondoka sasaivi, tena potea kabisa Kabla machoni kwangu. 😤

Kijana👳🏿: Sawa, lakini nina nyumba zangu Tatu, na macula manne kariakoo, pia juzi...

Want to read more stories like this?

Join our community to unlock premium stories, track your reads, and discover amazing content!

Loading comments...

Related Stories

No related stories available.

Explore More Topics

No topics available at the moment

Fikiria kabla ya kuamua | Soma Stories