Kitu moja nimejifunza katika harakati ya kushughurikia hii digrii ni ati usiwai kosa angalau 30 bob ya savings.
Yaani kabisa jikaze usiguze hiyo 30 bob hata ukiona malaika hivi😳 na macho.Unless unaendesha ukiwa tao.
Wenzangu, acheni nipumue na nguvu kwanza 😭😭.Walisema ni therapeutic.
COMRADE POWER!
siku niko kwa my 4 cornered silver cube as any honorable comrade should, nimetulia tu kwa matress yangu ya 3 by 6. Naona simu ikiflash rwaa! Inakatika. One thing about a comrade ni ati atalala njaa na wiki lakini wifi/ data hakosagi.
Kuona hiyo call nikajua kuna jambo nikaingia green...
Loading comments...
Related Stories
No related stories available.
Explore More Topics
No topics available at the moment