CITY LIFE
CHAPTER 1: THE WALLET
Nilikua pale kwa mat narudi kejani toka job maze mdomo imekakuka hata leo sijui nakula nini. Pale job tumeambiwa kulipwa ni adi Friday yani huyu boss haurumii hata wenye hata hatuna anything. Friday itafika kweli na hii njaa? Nikipiga akili kejani niko na unga kikombe moja hio hata haiwezi tosha sembe itapotelea kwa maji igeuke uji.
Kuna jamaa Kando yangu amebuy mahindi choma bana kaharufu kananipiga mapua mate inajaa mdomo. Pale kwa window hawker amenishika shingo.
"Bro cheki mahindi hii imetoka Uganda, flavour iko fiti na ladha nayo sibahatishangi kwanza iko na strawberry flavour kwa umbaali unaona.. shika 50 bob nikichwachie"
Hata sikumuangalia. But aliendelea kisubmarine kunikula kichwa ni kama pia yeye siku imemuendea vibaya hajapata hata customer moja.
" Customer wacha kubonda hivo...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment