Episode 1
Finally High school nilifika after kustruggle sana pale ryma... zilikuanga hizo siku ni marks zako zingekupeleka next class..So mm sijui ka Mungu alisahau kuconnect wire zingine kwa medulla 🧠 😂😂. So sikuwa na otherwise but kuacha tu ikae ivo ju sasa Mungu ningempata wapi nimwambie Kuna makosa alifanyia kidogo kwa kichwa changu🤷🏿♂️... Class six nilirepeat 3 times then class seven pia 3 times hadi walimu wakaona tu wanisukume class eight coz sasa ndevu zilikuwa zimeanza kumea.. Huko down nako vuoya ni kama karura forest😂😂😂...
Nilifika high school nikiwa mpole coz sikutaka kuwa kwa spotlight na hiyo physical appearance yangu... Form one nilimaliza, form 2 nikamaliza pia, exams nilikuwa tu na survive kwa kuiba na sometimes kusaidia na wasee mbogi yangu..mambo ilikuwa tu until Form 3..
Alex😂 my best friend pale high school, so siku tukiwa Form 3 life ilianza kuwa ngumu sana manze, hadi hakuna pesa za escort ya chai hadi nakumbuka Alex siku moja alicome up na idea fulani😜
Oyah Ishmah, we have to look for other way of surviving man, akanisho ameona kwa ofisi ya princy kuna kitu kwa bag pale kwa table na anasuspect huenda ni kitu tunaweza uza tujinyc ju games zilikuwa soon na jamaa nilikuwa broke ile mbaya😂 by good luck tuliitoka 💪 only to find out that ilikuwa koti la prinz😡, tukatafuta wa kununua lakini wapi😂 ilibid nikaenda nayo home😍..nikapea dad yangu....Princy alitafuta mpaka akagv up, Alex ni msee wa siri 💪
Siku zilienda ikawa Sato ni games🤔🤔 nikaona apana lazma nicheze kimimi bn, hiyo majion nilidunda home nikiwa so stressed kiplan😂
MUM: Ishmah ni nini mbaya haukai kawaida
ME: sijui nitafanya nini shule princy amesema before sarto tuwe tumepeleka pesa za Properties of Matter 😭 bila hiyo hakuna eggsam
MUM: (surprised) hizo nazo ni za nn🤔 ambia...
Loading comments...
Related Stories
Explore More Topics
No topics available at the moment