Synopsis
💖REGINA💖....(part 1)
Hakuna kitu tamu kwa hii dunia kama Mapenzi🥰🤗nikisema mapenzi i mean ukue na mtu anakupenda vile uko😂😂azn mtu hana sababu ya kukupenda🙄🙄..na ukibahatika kupata mtu anakupenda manze mlinde vizuri coz ukimwacha aende utaumia sana😂😂...
So me nilikua nimetulia kwa keja yangu nimekaa bed coz kwa keja yangu nilikua tu na bed pekeake na capet😂😂..alafu pia nilikua na kastove kangu hapo nimewekelea maji ya ugali🤗🥳🥳..pale kando kulikua na vipande nusu nusu za mishumaa😁...nilikua nimewasha mushumaa moja coz zilikua usiku na token yangu ilikua imeisha😪😪ogopa maisha ya Nairobi nani😂😂huko ushago watu hufikiria eti watu wa Nairobi wako na pesa😂😂✋💔..
Me nilikua nakaa kwa nyumba ya mabati en nilikua nalipa rent ya 2k per month😭..kazi yangu ilikua kubebea watu mizigo pale tao💪💪so iyo pesa kidogo yenye nilikua nikipata ndio nilikua nalipa nayo rent then nibuy food alafu ikibaki kidogo natumia mom pia anunulie wadogo wangu food coz me ndio first born kwetu na mnajua tu mafastborn tunaplay tu role ya wazazi🤏🤏...
So nilikua nimetulia tu bed zilikua saa mbili za usiku na nilikua dryspel ile mbaya🥶🥶🥵coz tangu nikuje nairobi miezi sita sai sijawai kua na dem🥺🥺..uzuri nilikua na arimis yangu hapo chupa kubwa😋🥳🤗azn ningekosa kitu ingine but singekosa Arimis kwangu😂😂✋..weee dryspel is real guys that's y nasema ukipata mwenye anakupenda mtunze manze🥰🥰...
Sa baada ya kupika ugali yangu na mayai nikakula..nilifunga mlango yangu poa then nikaenda bed..nikachukua simu yangu ya neon kicker🥳🤗nikaamua kuingia fb kidogo nipitie zile meme za dr darale nitoe stress😂..
🤗🤗..baada ya kupitia meme za darale niliweka kaphone kando nikaamua kulala coz nilikua nimechoka sana🥱🥱..hadi sikuzima data niliwacha tu ikiwa on🥺🙄🙄..so usiku wa manane nikiwa nimelala nikaamushwa na sauti ya ujumbe (notification)kwa simu yangu😳😳🥱nikashangaa sa nani huyu amenitxt sai🙄🙄...niliangalia kwa saa ya simu zilikua saa sita na nusu🥱🥱.. follow Samm