Plot Love
Series

Plot Love

2/26/2026
32 reads

Synopsis

Kuna huyu dem tumekuwa tunaishi kwa plot moja for almost 2½ years sasa. Si wale watu wa “hi–bye” tu, tumezoeana vibaya sana. Kila asubuhi ni kukutana kwa gate, jioni kwa stairs, mara kwa kiosk tukibuy vitu za supper. Ile type ya familiarity ya majirani ambao hawasemi sana but kuna ka-vibe fulani inapita chini ya maji.

Juzi sasa ndio mambo ilichange kidogo.

Kulikuwa na ka-drizzle flani hivi jioni. Si mvua kubwa, ile tu ya kufanya hewa iwe baridi na romantic bila mtu kupanga. Nikampata kwa corridor, ameshikilia hoodie yake kidogo juu ya kichwa, akacheka akasema, “Hii Nairobi weather nayo…” Kabla niseme kitu, akani-hug. Na si ile hug ya side… ile ya proper contact.

Na huyu msichana amejaa jeggings, na si za mchezo. Ile moment ya hug, bro… sema joto. Baridi ya drizzle ikapotea instantly. Nikajipata nimefreeze for like two seconds nikajiuliza kama hii ni ile hug ya kawaida ama kuna kitu ime-shift.

Tukacheka kidogo, akaingia kwake, mimi nikabaki kwa corridor nikishangaa kama nimewasha heater ama ni imagination yangu inanipima.

Leo tena tukapatana. Hii time hakuna drizzle, but tension iko kwa hewa. Tukaanza story za kawaida, tukacheka, macho zinashikana kidogo kuliko kawaida. Nikajikuta nikisema, “Wacha nikuombe mechi wadau… niko kadi leo.” Akaangalia tu na ile smile yake ya corner, ile ya kusema “nakuona.”

Sasa niko hapa nikiandika hii nikisema niombeeni wadau. Hii plot imekuwa silent for 2½ years, lakini inaonekana script imeanza kubadilika. Ile hug ya juzi bado iko fresh kwa system, na mimi niko ready kuona next episode inaleta nini.

Maisha ni short, drizzle ni random, na sometimes opportunity inakuja umevaa jeggings na soft pillows zikiwa fully loaded.

Ni hayo tu kwa sasa… stay tuned Niko kadi wadau

Chapters

No chapters available yet. Check back soon!
Plot Love | Soma