Synopsis
Nilikuja Nairobi nikiamini naanza maisha mapya na mtu niliyempenda. Nilikuwa na ndoto, biashara na moyo wa kujituma. Lakini baada ya maisha kunigeukia, nilijikuta nikikosa hata vitu vya msingi nilivyowahi kudhani ni kawaida. Hii ni story yangu ya kweli… mambo ambayo sikuwahi kuambia mtu yetote.
Lakini safari yangu ilikuwa bado haijaanza kabisa, kumbe.
Chapters
No chapters available yet. Check back soon!