Chapter 1

Chapter 1
2 min read
0 reads

Kabla tuanze sema,COMRADE TIARARA!✊️😅

Sasa leo pale Kenyatta yunivasiti, niko harakati zangu za kufunga digrii✅️. Mtihani ni ya 3rd last nimalise hii maneno. Sema TIARARA✊️.

Nikiendelea kuchungulia mwakenya yangu huku jicho ikiwa wa invigilator kama mwewe🫣, naskia commotion. Nainua shingo mara moja! Hapa unajua ni pahali pa hatari yaani makosaa kidogo tu na degree unaenda nayo nyumbani labda ile ya temperature kupanda kwa sababu ya kupaniki🥶 .

Nazungusha tu shingo namna hii naona malkia mmoja wanapambana na lecturer. Nikajua baas, hii sasa ndio operesheni okoa digrii.

Mwanadada alikua na nguvu kuliko damu ya mwanakondoo my loves😶.

Na ndio ujue hii operesheni...

Want to support this author?

By unlocking the full story, you directly support local writers. You'll also be able to track your reads, and discover amazing content!

Chapter 1 - COMRADE POWER✊️!! | Soma