Chapter 2

Chapter 2
2 min read
1 reads

Hiyo time nilikuwa single baya sana, 😁 nani angekubali mtu wa kuuza lines? Aaaih πŸ˜‚ wako wengi,shida ilikuwa mimi. Am struggling with life alafu niongezee shida ingine,itakuwa mbayaa 🀭. Saa hio naishi kwa single room yenye nikiangalia nikiwa bedroom naona kitchen yangu yote πŸ™„,no curtains,yaani hata siwezi tokea kama muigizaji wa drama festivals πŸ˜‚, shida ni mbaya aisee.

Hapa ndipo nilikutana na mrembo anaitwa Mary, in the line of duty,sisi sote tukikatia wateja wakubali lines πŸ˜‚unaongelesha mtu mpaka unakauka mate. She was very convincing,I liked her very na sikujua alikuwa pia amenikufia mbayaa 🀭.

Lakini wasichana na magicians wanakaribiana sana,wewe unaingia mtaa unatoka na 10 ama less sales yeye amepiga 15...

Want to support this author?

By unlocking the full story, you directly support local writers. You'll also be able to track your reads, and discover amazing content!

Chapter 2 - TRUE LOVE DOESN'T NECESSARILY START FROM WEALTHY PEOPLE | Soma