Chapter 1

Chapter 1
2 min read
2 reads

Hii maisha nayo imenionyesha vumbi,real dust like unajikuta umepigwa ukapigika 🤔thoughts of giving up yelling in your heads kama hizo horns za matatu za Kayole.

Mambo ilianza kunikalia gumu after kujoin campus pale kisii. Thought maisha itakuwa zuri lakini mambo iliniendea mrama the first semester.depression was winning day by day,while suicidal thoughts flew like flies kwenye mzonga. Ikabidi nimedrop out nikaingia streets kuhustle. Nakumbuka nikiajiriwa kama shamba boy 😂,it ain't easy my friends. Yaani unatumika unasikia kama utaisha,na kupimiwa chakula 🥲.

Kumbuka mjengo nilikuwa nimepiga kabla niingie campus,mimi hakuna kazi sijawahi fanya zile watu husema ni gumu 🙄. After kutoka shamba boy 2024 nilirudi home nikapanda ndengu,ilifanya vizuri nikapata tupesa kidogo nikafanya maendeleo hapa na pale ndio...

Want to support this author?

By unlocking the full story, you directly support local writers. You'll also be able to track your reads, and discover amazing content!

Chapter 1 - TRUE LOVE DOESN'T NECESSARILY START FROM WEALTHY PEOPLE | Soma