Chapter 4: Hakuna Kurudi NyumaUsiku ile ya stairs haikuniacha.
“Maybe tulikuwa tunangoja uchome.”
Hiyo line yake ilikuwa inarudi kwa akili yangu kila saa. Sasa haikuwa tu flirting. Ilikuwa challenge.
Siku iliyofuata ilikuwa Sunday. Plot ilikuwa quiet — ile silence ya watu wengi wako ndani wakipumzika ama wameenda church. Mimi nilikuwa nimekaa kwangu nikijifanya nawatch movie but akili yote ilikuwa kwa mlango.
Kama vile universe ilijua.
Knock.
Moyo iliruka kidogo. Nikafungua.
Ni yeye.
Amevaa sweater light, zile jeggings tena (hizi sasa zimekuwa official uniform ya hii story), nywele zimeachwa free. Hakukuwa na smile ya mchezo. Ilikuwa calm confidence.
“Una sugar?” akauliza.
Nikainama kidogo. “Sukari?”
“Yeah… nimeishiwa.”
Sasa hii haikuwa kuhusu sukari. Hii ilikuwa excuse.
“Niko nayo,” nikasema nikifungua mlango zaidi. “Ingia uchukue.”
Akasita sekunde moja — si kwa kuogopa — ni kama alitaka...