Chapter 3: Line Imeanza KufutikaBaada ya ile hug ya pili, hakuna kitu kwa plot ilikuwa normal tena.
Sasa haikuwa imagination. Haikuwa baridi. Haikuwa coincidence.
Ilikuwa chemistry.
Siku zikaanza kuwa shorter, ama labda ni mimi nilikuwa nangoja jioni ifike faster. Kila nikisikia mlango yake ikifunguka, masikio zangu zinakuwa alert automatically. Kila footsteps kwa corridor zinafanya heart rate ipande kidogo.
Na yeye?
Alikuwa calm. Too calm.
---
Ilikuwa Saturday jioni. Watu wengi kwa plot walikuwa wameenda outing ama wako ndani wakipika. Compound ilikuwa quiet. Nilitoka kununua soda kwa kiosk nikarudi polepole.
Nilipofika kwa stairs, nikampata amekaa hapo juu kidogo, amevaa oversized T-shirt na zile jeggings tena. Miguu ime-crossed, simu iko mkononi lakini hakuwa anascroll.
Alikuwa anangoja.
“Ulikuwa wapi?” akauliza casually.
“Kwa kiosk tu.”
“Acha story.”
Nikacheka. “Wewe sasa unani-check?”
“Maybe,”...